Natafuta cages za kuku wa layers

erc30

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
15
Reaction score
0
EE BWANA mimi ni mfugaji wa kuku kibamba [kuku wa mayai] nahitaji cages kwa ajili ya kuku wangu [2500]. ningependa kujua nitapata cage wapi na kwa bei gani hapa Dar hata nikipata mafundi bora wa kutengeneza hizo cages kwa ubora na viwango nitashukuru sana.

KWA PAMOJA TUIJENGA TANZANIA MPYA....
 
Mkuu umefanikiwa au bado?

Mkuu mi naomba msaada wako
Nimenunua kasuku wanne ila cage niliyonayo ni ndogo sana wala haiwatoshi.
Naomba nielekeze ntapata wapi kwa hapa Dar.
Please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…