Mimi nipo dar es salaam, natafuta boyi kwa lugha ya kwetu inaitwa shaghii. Ni ile ya kushikia sufuria wakati wa kusonga ugali. yenyewe ina umbo la "Y". Mwenye kujua zinapo uzwa hapa dar naomba anisaidie kunielekeza, nisaidieni coz mikono inaungua.
Ni hayo tu. mia
Ohoooo....'ngastuka'
sante babaangu, ila iyo 'mia'apo chini ni yanani
hapana sijatumwa. kwani waganga wanazitumia mkuu?. mi nahitaji ya kusongea ugali getto. mia
ngoja nibi rili. Mi ya pale Masama babangu..n yu
huo ugali wa kuhitaji boi una ukubwa gani?
Nenda mtaa wa gerezani kariakoo utazipata. mia...
dona kilo 3. mia
bro hiyo .mia inakera. Better ungeitoa kaka, niamini!
Mimi nipo dar es salaam, natafuta boyi kwa lugha ya kwetu inaitwa shaghii. Ni ile ya kushikia sufuria wakati wa kusonga ugali. yenyewe ina umbo la "Y". Mwenye kujua zinapo uzwa hapa dar naomba anisaidie kunielekeza, nisaidieni coz mikono inaungua.
Ni hayo tu. mia
Naomba nijitolee kukuweka mjini kwa muda wako wote,hadi utakapoamua kurudi kijijini kwenu Sitimbi.
hahahaaaaa....!!!. Mi naomba unitafutie hiyo boyi tu. mia
Samahani mtoa mada , sisi wengine wazee wetu shughuli zao ziliwafanya waishi nje ya Tz na sie kuzaliwa na kukulia huko.
So far vitu vingi vya local hatuvijui, hivyo nauliza hiyo boyy inatumia batery au churgable ? Au iko kama Microwave? Afu kumbe fujo zako zote hapa Jf kumbe ugali wasonga mwenyewe?
Pole weweee!
Asonge wapi?
Mkewe sasa hv ana :mimba: ndo kaamua kumsaidia kuingia jikoni kusonga bada.
Asonge wapi?
Mkewe sasa hv ana :mimba: ndo kaamua kumsaidia kuingia jikoni kusonga bada.
Alaaa!
Na hivi anamiliki chumba kimoja cha uani si rahisi akaajiri hata beki'witiri , atamlaza wapi ! Maskini anatia huruma.
Huyo beki three atakua amekuja kufanya mambo mengine sio kupika. kwani nmekuwa na shughuli hadi nitafute watu wa kupika?. nakikiri anaweza akanenepa tumbo siku hiyo hiyo!. wewe unaye?. miaAlaaa!Na hivi anamiliki chumba kimoja cha uani si rahisi akaajiri hata beki'witiri , atamlaza wapi ! Maskini anatia huruma.
Huyo beki three atakua amekuja kufanya mambo mengine sio kupika. kwani nmekuwa na shughuli hadi nitafute watu wa kupika?. nakikiri anaweza akanenepa tumbo siku hiyo hiyo!. wewe unaye?. mia
Sio ninae!
Ninao !
Wawili .