Sijui kwa nini siamini kuwa una miaka 25!!!
Umeandika kitoto sana nahisi umeoverstate miaka
hivi kweli miaka 25 ni mingi sana kwa msichana lakini wewe umeandika kitoto sana na hata utakaowapata humu watakumega tu na hawatokuchukulia serious
embu weka post vizuri
we boyfriend tu yoyote sawa huna vigezo wewe??
Au kama upo kibiashara sawa ila kama upo serious fungua id mpya kabisa
kwanza jina tu beauty gal halafu unatafuta mchumba?
Si mashaka haya