Natafuta bodi laToyota Hiace

black short

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2019
Posts
519
Reaction score
980
Uzi mfupi tu.
Natafuta bodi la gari aina ya Toyota haisi superoof (dungu). Likiwa halina gearbox, injini wala diffu itapendeza zaidi. Kikubwa liwe halijakatika chasis/chasesi (vyovyote vile).

Likiwa maeneo ya mwanza, shinyanga, kahama, nzega itakuwa vyema zaidi. Mbarikiwe!
NB: muonekanokama hii picha chini.

 
Huwezi kupata lenye sifa hizo halafu likawa bora kama kwenye picha, kama unataka lenye putty kila eneo utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…