Natafuta BlackBerry Bold 9900 au 9700!

Natafuta BlackBerry Bold 9900 au 9700!

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,451
Reaction score
9,770
ni maduka gani naweza kupata blackberry bold kwa bei nzuri jamaan! Naombeni mnisaidie jamaan
 
unataka bold 9900 kwa bei ndogo ya 850000 au 9790 kwa 725000. 0719223225
 
Ukikosa nitafute mzigo wangu mwingine utaingia very soon
 
Bold 9700 used kwa 350000...PM me ukiwa na nia
 
Acheni njaa nyie mbona mnadharilisha BB hvyo? BB9900 mnauza kwa 780k? Acheni njaa,BB9700 mnauza 350k? Acheni njaa!!!!
 
Bold 9700 - 300,000/- fixd price.. Used like new jus few months iko poa sana
 
Acheni njaa nyie mbona mnadharilisha BB hvyo? BB9900 mnauza kwa 780k? Acheni njaa,BB9700 mnauza 350k? Acheni njaa!!!!

Wajinga ndo waliowao ndugu yangu!! Eti 9700 kwa 350k?!! Its a outdated piece of ****!!
 
Kuna watu wanapenda kuwaharibia wenzao biashara!!! Si mkae kimya tu!!!!


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Back
Top Bottom