Natafuta Blackberry 9780 (T mobile )

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Nina laki 2 kamili kama upo na una uwakika nayo ipo kwenye hali nzuri, npo tayari

Mwisho napenda kusema nlishawai kununua simu kupitia apa JF nzima kabisa.
 
Utapata tu.....pitia pitia kwenye matangazo
 
Nina laki 2 kamili kama upo na una uwakika nayo ipo kwenye hali nzuri, npo tayari

Mwisho napenda kusema nlishawai kununua simu kupitia apa JF nzima kabisa.

blackberry 9780(T mobile)???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…