skills man
Senior Member
- Nov 10, 2024
- 175
- 437
Tunatofautiana mioyo kakaKwaiyo baada ya kupata Kazi umeona uje utuambie kwa staili hiyo?
Hakuna binti utapata humu kwa matukio yenu wanajeshi tulioyaandika humu nyie wa hovyo sana
Nin sasaNyoooo.... ππ
SawaUnao wazazi?baba mkubwa baba mdogo hawa wapo?kama wapo then washirikishe hili wakutafutie wao binti mzuri wa tabia uoe.
Kizazi hiki siyo cha kutafuta mke kichwa kichwa utakutana na galasa maji uyaite mma.