Natafuta binti wa kumuoa

Natafuta binti wa kumuoa

dundula

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
539
Reaction score
139
Elimu yangu ADA kaz nipo halmashaur ya wilaya hapa tz age 30 Dini muislam
 
Nilidhani unatafuta mwanamke wa kuoa kumbe binti,hao unaweza kuwapata maneromango waliomaliza kuchezwa ngoma
 
Elimu yangu ADA kaz nipo halmashaur ya wilaya hapa tz age 30 Dini muislam

Unaoaje binti wakati mabinti bado wanasoma wewe jamaa vipi kwanini usioe mwanamke?
 
yani pamoja na hyo ADA yako bado vuvula tu
 
Last edited by a moderator:
Huwa nawashangaa sana watu wanaotafuta wake/waume kupitia mitandao, hivi humo wanamoishi huwa hakuna watu au inakuwaje?!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom