Natafuta binti wa kazi

Natafuta binti wa kazi

Joined
Dec 9, 2014
Posts
65
Reaction score
15
Jamani natafuta binti wa kazi nipo dsm mbezi kikubwa atakuwa anabaki na mtoto wa mwaka na nusu, kupika chakula salary elfu 40 familia ina mke, mume na watoto wawili tunampenda Mungu hakuna wa kunyanyasa mtoto wa mtu 0683 666 702
 
Wanakuja

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Jamani natafuta binti wa kazi nipo dsm mbezi kikubwa atakuwa anabaki na mtoto wa mwaka na nusu, kupika chakula salary elfu 40 familia ina mke, mume na watoto wawili tunampenda Mungu hakuna wa kunyanyasa mtoto wa mtu 0683 666 702
Mpigie huyo atakusaidia 0715 573 747
 
Mpigie huyu maza,alinifuata mimi kama nahitaji mfanyakazi wa ndani.
Namba yake ni 0713303246 Yuko Dar.
 
Jamani natafuta binti wa kazi nipo dsm mbezi kikubwa atakuwa anabaki na mtoto wa mwaka na nusu, kupika chakula salary elfu 40 familia ina mke, mume na watoto wawili tunampenda Mungu hakuna wa kunyanyasa mtoto wa mtu 0683 666 702
Mi nipo iringa kwenye kiwanda kabisa, unapata dada safi kabisa, hila vigezo na masharti kuzingatiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom