Lyatuu the Great
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 212
- 85
Natafuta binti wa kazi. Mkia wa kufanyia kazi ni Dodoma. Mshahara elfu 40. Awe anajitambua na ajue kufanya kazi zake za ndani vizuri. Simu 0783085858.0769881984 0715075858
Serikali imeelekeza housegirl alipwe sh ngapi?kima cha chini cha serikali mshahara shilingi ngapi???huu ni unyanyasaji kwakweli elfu 40 unalipa mtoto bwa mwenzio ataifanyia nini ??kwanini kama unaona siyo kazi ngumu si ufanye ww??,hii ni dhambi halafu ukute ww mchangaji
unataka ukafanye?Upo dodoma sehem gani?
We unachekesha kwelii embu mpe laki mbili.. Apange chumba... ale kwake.... Avae kwake... Akiumwa ajitibu... Alipe umeme na maji na naul ya kazin uone kama ataweza save hata hiyo 40 kwa mwez... Piga hesabu zako vizurikima cha chini cha serikali mshahara shilingi ngapi???huu ni unyanyasaji kwakweli elfu 40 unalipa mtoto bwa mwenzio ataifanyia nini ??kwanini kama unaona siyo kazi ngumu si ufanye ww??,hii ni dhambi halafu ukute ww mchangaji
Bora hata umuulize atupe jibuSerikali imeelekeza housegirl alipwe sh ngapi?
bora hata ww umejitaidiHiyo 40,000 nimelipa kwa dada wa kazi mwaka 2009-11. Now nalipa 70,000.
Well unaweza pata kuwa na subra!
nahitaji binti Wa kaz pls msaada wako ndugu tuwasiliane pmNimeshapata binti wa kazi tayari pls sihitaji tena maombi yalikuwa mengi mno.asanteni kwa mlioleta maombi