Natafuta bikra feki!!

Kweli we jamaa boya..

Nipe kadi ya mwaliko kisha nitakueletea zawadi ya kuku wa kienyeji, mkienda fungate wakiweka shuka lao mchinje huyo kuku kisha mwaga damu kidogo kwenye hiyo shuka.

Mhifadhi vizuri huyo kuku kesho yake umnywe supu.
 
mkuu wataona tofauti
 
Dah me cjui bdo mtoto wa hayo mambo ila ninavowackia watu sio watu wote wanatoka damu itadepend na wewe mwenyew utakavomtoa ila nenda insta huko zko page kibao za makungwi wanauza labda mtafanikiwa
Wewe yakwako ilikuaje siku ya kutolewa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…