Natafuta battery ya iPhone 4S

Natafuta battery ya iPhone 4S

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,821
Habari ndugu zangu, natafuta battery ya iPhone 4s. Ya kwangu haikai na chaji sana. Yeyote anayeweza kuwa anauza battery mpya ya iPhone anapm.
 
Njoo nikuuzie 5s ina crack kidogo kwenye speaker.
Hiyo apple smeacha zipa support soon hata whatsapp na apps nyingine zitabaki historia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom