King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 71
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta bata bukini na kanga tafadhali kama unao njoo na bei yako nataka wa kufuga.....
Unapatikana wapNauza mayai ya bata bukini @Tsh.5000/=
Una patikana wapi?