Nenda ubungo kituo kikuu cha mabasi ukifika nenda pale kwenye banda wanapopumzika abilia zunguka nyuma ya hilo jengo tembea upande wako wa kushoto kwa mbele utaona unachotaka, waulize utakao wakuta na nunua hitaji lako.
nenda ubungo kituo kikuu cha mabasi ukifika nenda pale kwenye banda wanapopumzika abilia zunguka nyuma ya hilo jengo tembea upande wako wa kushoto kwa mbele utaona unachotaka, waulize utakao wakuta na nunua hitaji lako.