Natafuta baiskeli ya kununua kwa bajeti ya 50,000/=

Hapo Korogwe Gari Za Raha Leo Si Zinapita?Mimi Nahitaji Baiskeli Hiyo Kama Picha Itaniridhisha Kwa Ajili Ya Kusambaza Bidhaa
Si unajua korogwe ni hapa njiani ukielekea Arusha, Raha leo zikitoka Tanga mjini zikifika njiapanda Segera haziji huku zinaenda dar, moro na dodoma kupitia chalinze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom