Natafuta baiskeli ya kununua kwa bajeti ya 50,000/=

Mi siko home, nikupe contact muwasiliane, mimi narudi late kidogo. na ni nzima mtoto hakuitumia sana.
Njoo inbox mkuu nikaione nimnunulie chalii maana aliyonayo naona imekuwa ndogo haimfai kbd
 
Bado sijapata bike,kwa yeyote mwenye nayo namkaribisha pm kwa mazungumzo
KARIBUNI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom