Natafuta bag neck sealer

Natafuta bag neck sealer

cheseo

Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
80
Reaction score
21
Habari wadau? Natafuta mahali DAR ES SALAAM wanapouza vimashine vidogo vya kufunga seal (BAG NECK SEALER) ntakachotumia kufunga mikate yangu Kama inavyoonekana kwenye picha, natanguliza shukrani zangu za dhati!!
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    32.4 KB · Views: 53
Habari wadau? Natafuta mahali DAR ES SALAAM wanapouza vimashine vidogo vya kufunga seal (BAG NECK SEALER) ntakachotumia kufunga mikate yangu Kama inavyoonekana kwenye picha, natanguliza shukrani zangu za dhati!!

Mambo vip mkuu? Nayo mpya kabisa ipo kwenye box lake haijatumika kabisa.PM tuzungumze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom