Munawar ni tapeli mkuu
Munawar ni tapeli mkuu
Ofisi yangu iko wapi ??? Mimi huwa navaa nguo gani nikiwa ofisini ??? Walinzi wanavaa uniform rangi gani ??? Niki sign huwa natumia mkono wa kulia au kushoto ???
Yaani wenzako wakina saju , shark , kioo wote wanaogopa kuja Msimbazi au central police station !!! Sijui kwa nini !!! Baba yenu mchunguzi huru ameona moto mkali , amekimbia kabisa jamii forum !!!! Sijui mna laana za nani
Kaka naona umenikumbuka.
Shwari lakini?
Magomeni hawajambo?
Mi napita tu!!