sam2015 Senior Member Joined Dec 20, 2015 Posts 107 Reaction score 112 Feb 4, 2018 #1 Wadau natafuta anaetengeneza maua ya shanga kwa ajili ya kutengeneza viatu vya kimasai; 1.Yawe shanga Original 2.Uwe na uwezo wa kubadika kulingana na hitajio 3.Bei ni Tsh.3,000/=kwa pea moja 4.Awe na uwezo usiopungua pea 50 kwa wiki
Wadau natafuta anaetengeneza maua ya shanga kwa ajili ya kutengeneza viatu vya kimasai; 1.Yawe shanga Original 2.Uwe na uwezo wa kubadika kulingana na hitajio 3.Bei ni Tsh.3,000/=kwa pea moja 4.Awe na uwezo usiopungua pea 50 kwa wiki