Kwanza utumiwe pesa uwe nayo mkononi then ndo uanze taratibu za kuuliza hiyo Almasi na unataka ya grade ipi ukiwa na Cash kuna wachimabaji Shinyanga, Mwanza wamejaa sana bt Cash iwepo usijekutumika kama daraja la kutapeli watu au wewe mwenyewe ni tapeli?