Natafuta Ajira

Natafuta Ajira

Miyah

Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
37
Reaction score
109
Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24. Na si mrembo tu bali ni mchapakazi sana na mwepesi wa kuelewa kitu, na napenda kujifunza pia. Elimu yangu ni ya kidato cha4, Naongea vizuri lugha ya kingereza na kiswahili. Na ni mkazi wa Dar-es-salaam.

Please wakuu naombeni connection za kazi, Nashida sana ya kazi na Mungu awabariki wote.
 
IMG_3335.jpg

Jaribu kutuma maombi kwenye hizi nafasi.....naamini urembo wako utakubeba na utapata nafasi
 
Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24. Na si mrembo tu bali ni mchapakazi sana na mwepesi wa kuelewa kitu, na napenda kujifunza pia. Elimu yangu ni ya kidato cha4, Naongea vizuri lugha ya kingereza na kiswahili. Na ni mkazi wa Dar-es-salaam.

Please wakuu naombeni connection za kazi, Nashida sana ya kazi na Mungu awabariki wote.

Dini yako...?
Kabila lako.?
Utaweza kazi ya miamala ya pesa.??
 
Jifunze animation, ukiweza utengeneze project 10 za masaa mawili mawili, baada ya hapo utaenda south kupumzika wiki moja.
 
Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24. Na si mrembo tu bali ni mchapakazi sana na mwepesi wa kuelewa kitu, na napenda kujifunza pia. Elimu yangu ni ya kidato cha4, Naongea vizuri lugha ya kingereza na kiswahili. Na ni mkazi wa Dar-es-salaam.

Please wakuu naombeni connection za kazi, Nashida sana ya kazi na Mungu awabariki wote.
Nipe WhatsApp namba yako PM
 
Back
Top Bottom