NATAFUTA AJIRA

NATAFUTA AJIRA

stnabee

Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
6
Reaction score
0
Wakuu naombeni msaada wenu natafuta ajira nimesoma Bachelor of Procurement and Logistic management sehemu ambazo na fiti ni Procurement, Logistics, Stores or warehouse so kama kuna sehemu inapatikana nafasi usisite kuwasiliana nami nipo DAR ES SALAAM na napatikana mda wote na nipo tayari kuanza kazi mda wowote. Asanteni
Email:stnabee@gmail.com
 
Nenda bollore Africa nimeona wametangaza kazi hiyo nenda physically maana tangazo nimeliona zoom Tanzania.
Eneo wanalopatikana ni Dsm mandela road katikati ya kituo cha mwananchi na TIOT mfano umetoka ubungo unaelekea Mbagala
 
Nenda bollore Africa nimeona wametangaza kazi hiyo nenda physically maana tangazo nimeliona zoom Tanzania.
Eneo wanalopatikana ni Dsm mandela road katikati ya kituo cha sokota na vetenary mfano umetoka mbagala unaelekea Ubungo
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom