Natafuta ajira za telecommunication engineering

Tel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakuna
Ulivyovomment utafikiri hutakufa vile
 
kijana komaa na youtube ujiajiri mwenyewe mbona akina mark wao waliweza wewe ushindwe una nini
Youtube yenyewe inahitaji bando,ni bora aanze na kutafuta intership kwanza,kujiajiri sio kazi rahisi
 
Kuwepo makampuni mengi sio ndio uwingi wa kupata kazi........Aende pale Bati servise akajaribu,ila muhimu la kuzingatia ujaribu kampuni zote alizotaja mwamba hapo juu halafu ukifika kwenye ofisi zao jaribu kuonana na mlinzi getini akupe Abc kuhusu michakato ya inter ama ajira,hua walinzi tunawazalau sana lakini ndio haohao wenye kujua vingi ndani ya maofisi,Mie kibarua changu cha kwanza baada ya kutoka chuo nilipata pale jengo la umoja wa vijana ccm hapo nimelikuta limeshaisha,ila kwa nature ya kazi yangu nahitaji maeneo ya jengo basi nikaonana na mlinzi tena ni mdada nikajifanya sijui kitu,katika maongezi nae akapita supervisor akaniunga nae nikampa cv yangu baada ya siku nne nikapata kazi,anza nao walinzi kuwaulizia
 

Asante sana mkuu.
Great experience
 
Nipo Airtel Morocco anaitwa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…