hilker mhema
Member
- Mar 20, 2017
- 81
- 23
Umemaliza chuo mwaka gani Dogo.Wakuu nimesoma telecommunication engineering st Joseph University in Tanzania.
Naomba msaada wa kupata nafasi za kazi au kufahamishwa makampuni ambayo yanatoa nafasi za internship na volunteering kwa sector hii ya telecommunication
Tel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakunaWakuu nimesoma telecommunication engineering st Joseph University in Tanzania.
Naomba msaada wa kupata nafasi za kazi au kufahamishwa makampuni ambayo yanatoa nafasi za internship na volunteering kwa sector hii ya telecommunication
youtube tena dah!kijana komaa na youtube ujiajiri mwenyewe mbona akina mark wao waliweza wewe ushindwe una nini
Aongezee maarifa kidogo then ajiajiri maana ni aibu kwa mtu mwenye computer science related degree kulia lia humu jukwaaniyoutube tena dah!
Aisee imekuaje hii? Mpaka div 3 nao wanasoma tele? Dah... Jamaa zangu wakisikia hii watasikitika sana... Kuna mwanangu nilipiga nae, enzi zile mm PCB yeye PCM, ni kichwa hatari class alichomoka na 1 point 5 na tele akakosa pale UD! Ilimtesa sana kisailojia...Tel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakuna
Hatari mzee. Nakumbuka aisee! Ilikua ukiingia darasa la tele pale udsm ni shida, wamejazana wazee wa msuli nondoDah zama zinabadilika. Enzi zetu Tele ilikuwa ya Moto Sana. Kwanza udsm ilikuwa Inachukua vipanga tu. Huna one ya Tatu hauingii. Ajira zilikuwa za kumwaga.
Leo Tele hata nafasi za kufanya field za kutafuta!
Mkuu saizi hakuna hayo mambo, Kuna jamaa kamiliza udaktari muhimbili tuko nae hapa tunaponda zege na kubeba tofali. Malipo 5000 kwa sikuIna maana zama zimebadilika sana? Nakumbuka telecommunication engineering ilikua inakimbiliwa sana na vipanga wa darasa na ilionekana ina uwanja mpana wa ajira.
Kuna kipanga wetu wa shule alipiga one ya saba o level, advance akapiga ya tatu pcm, akaenda kusoma tele UDSM sa ivi anatembelea makalio, mjengo mzuri mbezi anakula good life naskia anafanya kazi airtel...
Upo mkoa gani?Wakuu nimesoma telecommunication engineering st Joseph University in Tanzania.
Naomba msaada wa kupata nafasi za kazi au kufahamishwa makampuni ambayo yanatoa nafasi za internship na volunteering kwa sector hii ya telecommunication
DuhTel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakuna
Umemaliza chuo mwaka gani Dogo.
Upo mkoa gani?
Kanda ya ziwa Kuna NETIS,Northern engineering,Dar ipo pivotech,maktech,bati service,makampuni yapo Mengi,cheki mtandaoni,siku hizi ajira,usisubili watangaze,hiyo ilikuwa enzi zetu miaka hiyo ya 2010,we fika getini acha CV,tafuta anuani zao,tuma barua omba,kazi,field,nk.
Usitume kwa HR,tafuta mawasialiano ya mtu mkubwa,MD,CTO,operation manager nk
Md anafanya kazi ya zege huyo hajataka tu kaziMkuu saizi hakuna hayo mambo, Kuna jamaa kamiliza udaktari muhimbili tuko nae hapa tunaponda zege na kubeba tofali. Malipo 5000 kwa siku
Mkuu wengi tu hawana kaziMd anafanya kazi ya zege huyo hajataka tu kazi