Natafuta Ajira kwenye Chombo cha habari

Iceta

Member
Apr 9, 2015
13
45
Nimesomea uandishi wa habari pamoja na utangazaji nina uzoefu wa miaka miwili tangu nimalize kozi ya uandishi wa habari na utangazaji.

Nimefanya kazi kwenye radio kama mtangazaji na pia kama reporter ila mambo ya malipo yamekuwa mwiba sana kwangu.

Najitokeza hapa kuomba kazi kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia nikapata sehemu ya kazi yenye kutoa malipo walau ya kujikimu anipe msaada.

Natanguliza shukrani (nina stashahada ya uandishi wa habari).

Naweza kufanya kazi kwenye TV pia na Magazetini.
pole na hongere ili ulitakiwa kuomba hapo ulipokuwa na usikate tamaa watakuajiri kama unafaa. kupata kazi sio rahisi
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,545
2,000
Kidato cha nne kaka
Hebu eleza vizuri elimu yako
Nimesomea uandishi wa habari pamoja na utangazaji nina uzoefu wa miaka miwili tangu nimalize kozi ya uandishi wa habari na utangazaji.

Nimefanya kazi kwenye radio kama mtangazaji na pia kama reporter ila mambo ya malipo yamekuwa mwiba sana kwangu.

Najitokeza hapa kuomba kazi kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia nikapata sehemu ya kazi yenye kutoa malipo walau ya kujikimu anipe msaada.

Natanguliza shukrani (nina stashahada ya uandishi wa habari).

Naweza kufanya kazi kwenye TV pia na Magazetini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom