Natafuta agent wanaotafuta kazi Nje

Natafuta agent wanaotafuta kazi Nje

Rakeem

Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
94
Reaction score
12
Habari wanajamii
Natumai mko poa katika kulijenga hili taifa letu.
Mimi natafuta agent wanaotafutia watu kazi hususani Dubai,Oman na Qatar.
Nina Degree ya Property and Facilities Management.
Certificate in occupational health and safety.
NBMM level 3.
Zaidi focus yangu ipo zaidi kwenye Property Management na Construction Sector Kwa ujumla.
Naomba kujuzwa ofisi za huduma hizo naweza kuzipata mitaa gani hapa Dar
Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom