pharao JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 405 Reaction score 746 Jun 9, 2021 #1 Habari, Nahitaji account ya Youtube inayokaribia kutoa matangazo. kwa yeyote alitenayo anicheki tafadhari.
Habari, Nahitaji account ya Youtube inayokaribia kutoa matangazo. kwa yeyote alitenayo anicheki tafadhari.
JOHNGERVAS JF-Expert Member Joined Mar 22, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,562 Jun 9, 2021 #2 Ninayo ila tayar ina matangazo naiuza 2.5M
pharao JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 405 Reaction score 746 Jun 10, 2021 Thread starter #3 JOHNGERVAS said: Ninayo ila tayar ina matangazo naiuza 2.5M Click to expand... sihitaji yenye matangazo mkuu, nahitaji adsense iliyosetiwa UK
JOHNGERVAS said: Ninayo ila tayar ina matangazo naiuza 2.5M Click to expand... sihitaji yenye matangazo mkuu, nahitaji adsense iliyosetiwa UK
JOHNGERVAS JF-Expert Member Joined Mar 22, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,562 Jun 10, 2021 #4 pharao said: sihitaji yenye matangazo mkuu, nahitaji adsense iliyosetiwa UK Click to expand... Unaseti mwenyewe mkuu,Maana ukiwa na copy ya taarifa za ulipolipia kodi yako una update na kujitoa kwenye mfumo wa awali. Mfano mm nilikuwa inasoma marekan nikaenda kulipia huku tz nikaaatch zile taarifa nikahamisha
pharao said: sihitaji yenye matangazo mkuu, nahitaji adsense iliyosetiwa UK Click to expand... Unaseti mwenyewe mkuu,Maana ukiwa na copy ya taarifa za ulipolipia kodi yako una update na kujitoa kwenye mfumo wa awali. Mfano mm nilikuwa inasoma marekan nikaenda kulipia huku tz nikaaatch zile taarifa nikahamisha
B Brightyyys Member Joined Oct 28, 2020 Posts 15 Reaction score 14 Jun 10, 2021 #5 sipati maoni yako, je! unataka kupata mapato kutoka kwa chanel yako ya youtube?
pharao JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 405 Reaction score 746 Jun 10, 2021 Thread starter #6 Brightyyys said: sipati maoni yako, je! unataka kupata mapato kutoka kwa chanel yako ya youtube? Click to expand... Yah
Brightyyys said: sipati maoni yako, je! unataka kupata mapato kutoka kwa chanel yako ya youtube? Click to expand... Yah