profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,596 Reaction score 3,440 Aug 29, 2019 #1 Kwa yeyote mwenye,3phase induction motor,15hp, 720rpm,iwe mpya au used nicheki 0717964524 tufanye biashara,,,nipo dar..
Kwa yeyote mwenye,3phase induction motor,15hp, 720rpm,iwe mpya au used nicheki 0717964524 tufanye biashara,,,nipo dar..
malindo Senior Member Joined Dec 10, 2018 Posts 131 Reaction score 89 Aug 29, 2019 #2 Unataka kuitumia kwa ajil ya nn??
profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,596 Reaction score 3,440 Aug 30, 2019 Thread starter #3 kuna mpakistani mmoja kadisign mtambo wa kukaushia mchanga,kwa hiyo speed inabidi iwe ndogo sana,pamoja na speed ya mota kuwa 720/750rpm,bado kuna reduction gears,,madukani nimekosa,pia gerezani/kkoo nimekosa,tafadhali msaada mkuu. malindo said: Unataka kuitumia kwa ajil ya nn?? Click to expand...
kuna mpakistani mmoja kadisign mtambo wa kukaushia mchanga,kwa hiyo speed inabidi iwe ndogo sana,pamoja na speed ya mota kuwa 720/750rpm,bado kuna reduction gears,,madukani nimekosa,pia gerezani/kkoo nimekosa,tafadhali msaada mkuu. malindo said: Unataka kuitumia kwa ajil ya nn?? Click to expand...
MNYWABUJU JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 260 Reaction score 327 Mar 9, 2020 #5 tunaweza Fanya biashara ya mota , Niko musoma
MNYWABUJU JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 260 Reaction score 327 Mar 9, 2020 #6 au ulishaipata
profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,596 Reaction score 3,440 Mar 10, 2020 Thread starter #7 MNYWABUJU said: tunaweza Fanya biashara ya mota , Niko musoma Click to expand... asante mkuu,nilishafanikisha siku nyingi.
MNYWABUJU said: tunaweza Fanya biashara ya mota , Niko musoma Click to expand... asante mkuu,nilishafanikisha siku nyingi.