Nenda haraka pm kwake ukamfanye mtu wa kitofauti., Ila usimpende saana .Hutaki akupende sana??? Au typing error afu future husband matumizi ya r na l ni changamoto kiasi eeh, ila ntakuvumilia, nakuja pm soon
Hata kwenye ndoa atakutumia hivyo hivyo kama atumiavyo R na L.Hutaki akupende sana??? Au typing error afu future husband matumizi ya r na l ni changamoto kiasi eeh, ila ntakuvumilia, nakuja pm soon
Hutaki akupende sana??? Au typing error afu future husband matumizi ya r na l ni changamoto kiasi eeh, ila ntakuvumilia, nakuja pm soon
Mkuu, unanamaanisha sehemu ya kuweka R atakua anaweka L duuh, nimemuogopaHata kwenye ndoa atakutumia hivyo hivyo kama atumiavyo R na L.
Nimemshindwa asije akaniwekea R kwenye L ikawa shida ,mchukue wewe tu mwayaukishindwa nijuze dyadya
Hataki kupendwa sana eti ,kwani Mimi Dada yake au mke wakeNenda haraka pm kwake ukamfanye mtu wa kitofauti., Ila usimpende saana .
vile vile usisahau kumkumbusha matumizi ya kuacha nafasi aandikapo sentensi...
Mpende kidogo tuu ...Hataki kupendwa sana eti ,kwani Mimi Dada yake au mke wake, najiona sina vigezo tayari maana ntampenda sana ikawa shida akaniachaa
Nimeweka bango na mimi embu kalipitie basi kama nakidhi.Hutaki akupende sana??? Au typing error afu future husband matumizi ya r na l ni changamoto kiasi eeh, ila ntakuvumilia, nakuja pm soon
Mkuu, unanamaanisha sehemu ya kuweka R atakua anaweka L duuh, nimemuogopa
Hahaaa, nimeerewa sanaaNajua 'umenierewa'