Natafta kazi yoyote nipo arusha

Sadick makunga

New Member
Nov 9, 2018
3
1
habari wapendwa!jina langu ni hilo lipo kwenye profile acount yangu,nina umri wa miaka 28,elimu yangu ni form four,nafafta kazi yoyote,mimi n dereva nina chart cha PSV veta pia nifundi wa body za magari(unextending body vecal)safari vecal,namba zangu 0753210458
 
We jamaa huko A town kuna kampuni nying za magari Yale ya kitalii nenda na vyet vyako kaombe hata ukikosa ufundi hata kazi ya kuosha hayo magari omba .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa huko A town kuna kampuni nying za magari Yale ya kitalii nenda na vyet vyako kaombe hata ukikosa ufundi hata kazi ya kuosha hayo magari omba .

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Back
Top Bottom