NATAFTA KAZI YA KUFANYA

NATAFTA KAZI YA KUFANYA

Hstler

New Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu wakuu? Mm nikijana me (27), natafta kazi yoyote ile ktk kampuni, mtu binafsi au shule naweza kufundisha vizuri sana nimehtimu shahada ya sanaa na Elimu(Geog & kisw) katika chuo cha SAUT (mwanza) 2017.
Tafadhali kwa anaeweza kuwa nayo au kufaham sehemu mfanyakazi anahitajika tuwasiliane kupitia 0765038828, niko Mwanza.
 
Ngoja waje mkuu

Back
Top Bottom