Natabiri kifo cha CCM 2015

mzee wa miba

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
759
Reaction score
125
Ndugu wana JF kila dalili zinaonyesha kuwa kifo cha magamba kiko njiani na 2015 ndiyo itakuwa mwisho wake.
Hii inatokana na kwamba ------ mwenye ameshayatangazia makundi yaanze kijipitishapishaja, kwa maana kwamba tayari magamba hayajiamini na pia hawana uhakika wa ushindi wa kishindo tena na wanahofu mionyoni mwao.
 
mkuu hiki chama kitagawanyika vpande vipande kama unakumbuka nchini kenya ilivyokua KANU KIPINDI CHA ARAP MOI anamaliza mda wake kilivyopelekea kuibuka kwa NARC ndicho kitu ambacho kinaenda kutokea kwa magamba RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…