SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,367
- 10,256
ACha ukafiri sasa mbona unaumia na din sio yakoSasa naswali ....
Hivi hawa waislam wetu wao wanaongeza wake wengi ila ukiangalia wahindi wao ni mke mmoja tu na niwaislam na ndio maana wanafanikiwa .
ila sasa hawa watanzania yaani mtu yupo chumba kimoja .
Anawake 3 na watoto kumi .
Hana hela ya matumizi yanayoeleweka . Na bado anaongeza mke kila mwaka .
Nakumpangishia chumba kimoja sio hata nyumba ya maana hapana .
Hii ni mbaya sana haya sio maisha ......
Faida ya kuoa mke mmoja ndio dili maana utapata hata dhawabu kwa mwenyenzi Mungu.
Unaoa halafu hunamatunzo yanayoeleweka watoto hawana nguo, afya wala mtiririko mzuri wakielimu.
Serikali ifanye uchunguzi wa hili jambo wakionekana hawa watu matunzo zeroo waachishwe kuendelea na wake wengine ili hao wamama wapate sehemu nafuu.
TUTOKOMEZEE NDOA ZAIDI YA MOJA ZA KIMASKINI TANZANIA
Io din pekeee ya kimaumbileSi kweli kwamba wahindi wote ni waislam.
Kuoa wake wengi ipo tangu zamani Enzi za mitume,
Walikuwa na helaUmefeli, uislam umekuta wazee wetu zamaani wanaoa ndoa za wake kibao. Uislamu umecopy tu kwa hiyo swali lako ni la kijinga au hakuna swali kabisa. 🚮🚮
MaoniSijaona swali hapo
VyoteSwali/swala/suala/maoni/maono/maonyo/kukanya.
Nimepokea mama mchungaji.🫸🫷Vyote
Zamani hakukuwa nq hela kulikuwa na mbadilishano tu wa bidhaa, barter trade, mihogo kwa viazi au chumvi kwa karanga nk. Soma soma kidogo uongeze maarifaWalikuwa na hela
Wanahela hadi madini unadhani ni rahisi vitu ulivyovitaja kupata kwa kipindi matajiri ndio walikuwa navyooZamani hakukuwa nq hela kulikuwa na mbadilishano tu wa bidhaa, barter trade, mihogo kwa viazi au chumvi kwa karanga nk. Soma soma kidogo uongeze maarifa
Asilimia kubwa ni waislam nikupe ushahidiWahindi wote siyo waislamu wahindi ambao ni wa isram wako Pakistan 🇵🇰 Afghanistan 🇦🇫 n.k