vengu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 740 Reaction score 536 Jan 5, 2013 #1 Kweli wakenya noma...kwa wale wenye ving'amuzi mtakuwa mnaenjoy vya kutosha kipindi cha comedy kiitwacho NASWA katika tv ya Citizen..nimekipenda sana,macomedian wa kibongo tunawasubiri kwa hamu mcopy na kupaste kutoka kwa wakenya!
Kweli wakenya noma...kwa wale wenye ving'amuzi mtakuwa mnaenjoy vya kutosha kipindi cha comedy kiitwacho NASWA katika tv ya Citizen..nimekipenda sana,macomedian wa kibongo tunawasubiri kwa hamu mcopy na kupaste kutoka kwa wakenya!