we mpe hapa hapa. kwan maombi ni siri?hali hiyo inaashiria uchafdu. inaweza kusababisha utasa kwa walioolewa na pia kuzuia kuolewa kwa wale ambao bado hawajaolewa. unaweza kuingiwa na mapepo kupitia hali hii ya kula ukiwa ndotoni. ni pm nikutumie vipengele vya maombi ya kuondoa hiyo hali
Nimefika mama Mchungaji, nisije kukosa baraka bureHeaven Sent; ujongee huku mara moja nahitaji vifungu vya Maandiko Matakatifu
Ili niende sawa.
Unapo fanya hayo mapenz vitu vinawekwa humo ndani yako
Hivyo lazima yang'olewe
Na kitu cha muhimu usisahau kuomba toba Mungu kabla hujaomba ili uwe ma uhalali wa kupiganiwa vita
Kila pando asilopanda Baba yangu litang'olewa
Kwahiyo hayo mapando lazima yang'olewe
Sema nang'oa mwambie Yesu nang'oa chochote kilichopandwa na adui nang'oa ndan ya mwil wangu
Na mwambie Yesu akusaidie kung'oa hayo mapando
Omba had upone.
Cha kwanza kabisa weka wakfu hilo eneo unalo lala
Hayo makazi yalindwe na damu ya Yesu
Uhiii heaven Sent njoo uniandikie vifungu huku Biblia yangu ipo mbalii
Ah ah ah ah umeanza sasa. Tuendelee baadaye nw sijatulia hapaNimefika mama Mchungaji, nisije kukosa baraka bure
Haha sawa mama MchungajiAh ah ah ah umeanza sasa. Tuendelee baadaye nw sijatulia hapa
yeye ndio mwenye tatizo na sio wewe na ameomba msaada kwani nikimtumia wewe inakuhusu niniwe mpe hapa hapa. kwan maombi ni siri?
Pole xn mremboWapendwa wanajf naomba msaada wenu nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hxo ndoto .
Kuna siku nilikuwa nimelala mchana majira ya saa saba chumbani kwangu ktk ndoto nikaota nipo nashirik mapenzi km kawaida bt cikuweza kumtambua, nilipostuka nilifadhaika sana na kukosa amani nilikaa kitandani na kutafakari sana.
Mbaya zaidi jana usku niliongea na shemeji yangu kwenye simu, ilipofika alfajir km majira ya saa 10 nilistuka baadae nilirudi
kulala, kulipofik majira km ya asubuh
niliota ninasafir na shemeji yangu tupo
kwenye meli na watu lakini baadaye tulizama ndani ya maji mengi hivyo tukaanza kutafutana ndani ya kina cha maji marefu, baadaye alitokea mtu mwingine akanizamisha ndani ya maji hayo na nikahsi km ninashiriki mapenzi.. Nimekuja kustuka majira ya saa moja asubuh
Nakumbuka kipind cha nyuma wakati npo kidato cha sita na chuo hyo hali ilishawah kunitokea lakini nilikuwa napigana nayo kweny ndoto inatoweka lakini kwa sasa imekuwa tofauti kabisa.
Kwa sasa nina mtu Mwingine ambaye aliniomba uchumba sijawah kukutana naye kimwili na sina hisia naye na tumekaribia kumaliza mwaka toka nifahamiane naye.inafika hatua tunaingia kwenye migogoro kwa sabab hyo. Naomba mnisaidie jaman hii ni sababu ya kutoshiriki mapenzi muda mrefu au ndo mambo mengine yameanza . Nakumbuka kuna mtu alishawah kutoa ushuhuda humu aliolewa na pepo nahsi hofu moyoni mwangu. Nimejitahd kuwa nasali usku wakati mwingine hyo hali hutoweka baadae hurudia tena yaweza pita km mwez baada ya muda naanza kuota tena.
sidhan kama unaulazma wa kufanya hivyo....ila naona umepanic!! anyway, pole (kama umekwazka)yeye ndio mwenye tatizo na sio wewe na ameomba msaada kwani nikimtumia wewe inakuhusu nini
kama vipi anzisha na wewe thread ili nikutumie maombi pmsidhan kama unaulazma wa kufanya hivyo....ila naona umepanic!! anyway, pole (kama umekwazka)
duuh, we mwanamke kiboko. au upo heat nini? ninakukwepa lakin umekomaa namimi, nitue basi, nimeoa jana jamani!!ok?kama vipi anzisha na wewe thread ili nikutumie maombi pm