Nasubiri jibu langu mrembo

Moja haikai mbili haisomi tatu ndio imegoma kabisaaa
 
Sasa kama anaogopa kwa nini anaendelea kumsikiliza jamaa? Kwa nini asisepe fasta? Au ndio sitaki nataka?
 
Khaa huyu jamaa vp? mtu yupo katika chombo cha maana[benz] sasa mbona hajiamini? yampasa amwangalie mrembo machoni yeye anaangalia pembeni....
 
Sasa kama anaogopa kwa nini anaendelea kumsikiliza jamaa? Kwa nini asisepe fasta? Au ndio sitaki nataka?

Hii ni nature yao, mpaka akatae kwanza ndipo akubali, hapo ni kumshika mkono na kutokomea na kichakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…