Nassari sawa, Lema hapana!!


basi tukupe wewe ubunge
 
Kama unasema lema hafai je lusinde anafaa? Pia umuhimu wa mbunge wanaujua wapiga kura wake

lema,lusinde,wassira na maji marefu wote hawafai kuwa wabunge lakini nassari ni bomba na ana uwezo mkubwa sana,arumeru mashariki watanufaika sana
 
hoja haikua na tusi,haikua ya kutetea chama fulani,haikua yenye kashfa...hoja ilizungumzia kiongozi bora na kiongozi asie faa katika chama hicho hicho,lengo halikua kukosoa chama bali kumsifu kiongozi bora wa chama hichohicho na kumkosoa asie faa kutoka chama hicho hicho....lengo lilikua kiongozi bora,sio chama..kiongozi alieshinda kwa kutumia busara na yule alie shinda kwa kutumia kashfaa na kejeli...wasio jua siasa wakageuka kua mzee yusuf!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…