mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Pesa za ruzuku wale MBOWE na SLAA halafu wakati wa uchaguzi utembeze bakuli! hii imekaaje siyo kuwaibia wananchi?Mgombea wa kiti Cha ubunge katika Jimbo La Arumeru Mashariki(CHADEMA)Joshua Nassari,jana katika Viwanja vya Patandi(Tengeru)ameendeleea kuchangiwa shillingi hamsini na mia mia katika Mkutano wa Hadhara ambapo alikusanya zaidi ya Shillingi Laki5ni kama kurudishiwa Gharama Za mafuta na chakula ili aendelee na kampeni zake,Mkutano uliohudhuriwa zaidi na akina mama wa Soko La Tengeru.
Wakati huohuo Polisi walipata wakati Mgumu sana kuelekeza Misafara ya CCM na Chadema pale ambapo Msafara wa CHADEMA ulipokuwa ukiondoka Tengeru kuelekea USA River ilipo kambi ya CHADEMA na ule wa CCM uliokuwa na Mabasi yakirudisha watu ARUSHA mjini walipokutana uso kwa Uso..
Leo CHADEMA wana mikutano32 ambayo itahutubiwa na wabunge wake mbali mbali huku Mgombea akihutubia Mikutano mitatu hadi Mitano kwa Siku
Tunakihujumu Chama. Tupunguze mshahara wa SLAA toka mil. 12 hadi saba kwa mwezi ili chama kisiwaongezee mzigo wa wananchi kwa kutembeza bakuli kikiomba pesa za kampeniHata tanu ya nyerere ilichangiwa hivi! Saa ya ukombozi imefika! Peeeooopleeee!
Thehe thehe thehe. Una maana hata akikosa kwenda mjengoni atakuwa ametoka kimaisha au siyo? silo nalo neno.heri yake huyu
Nitaendelea kuripoti kila kinachojiri katika kampeni
Nani mwizi kati ya yule anayechangisha kipindi cha kampeni na kuzikataa ruzuku au wanaopora aridhi za wananchi huko arumeru na gairo na kibaigwa.Pesa za ruzuku wale MBOWE na SLAA halafu wakati wa uchaguzi utembeze bakuli! hii imekaaje siyo kuwaibia wananchi?
Pesa za ruzuku wale MBOWE na SLAA halafu wakati wa uchaguzi utembeze bakuli! hii imekaaje siyo kuwaibia wananchi?
Mkuu hapa hautafutwi ubunge unatafutwa mtaji. Hivi wewe ukichangiwa shilingi milioni 100 bado unahitaji kwenda mjengoni kufanya nini?si angenitafuta mimi nimpe hizo laki tano kuliko kusumbua watu.
Huyu anayekwenda kuwapaka wananchi mafuta kwa mgongo wa chupa ni hatari zaidi. Wao wanajua ardhi inaporwa wakati wa kkampeni tu? si wana viongozi huku majimboni kwa nini wasiripoti? au CHADEMA si chama bali ni Wanaharakati mbona hamueleweki? Hivi unajua ruzuku wanazozikataa zinatoka wapi? si kwa wananchi hao unaowatembezea bakuli na kuwanyang'anya kile walichobakiza baada ya kukupa zako huku kwenye ruzuku?NGOJA nikuache manake kama hujelewa kuwa wewe ni white paper basi.Nani mwizi kati ya yule anayechangisha kipindi cha kampeni na kuzikataa ruzuku au wanaopora aridhi za wananchi huko arumeru na gairo na kibaigwa.
Na ole wake akose ubunge halafu tukamuona anatakata kwa pesa zetu za bakuli tutamfuata huko huko FOUNDATION FOR TOMMORROW manake tunajua huko ili ale mpaka awapigie magoti wazungu.That's good of him.....CHADEMA imejengwa katika misingi hiyo siyo watu wachache wanamiliki uchumi...wanawatia watu umasikini ili wawatawale,,,,CCM wanafanya hivyo....wanajua wananchi wakielewa watawachukia.....Pambana Nassari
hapo red: pambanua una maana gani ?Huyu anayekwenda kuwapaka wananchi mafuta kwa mgongo wa chupa ni hatari zaidi. Wao wanajua ardhi inaporwa wakati wa kkampeni tu? si wana viongozi huku majimboni kwa nini wasiripoti? au CHADEMA si chama bali ni Wanaharakati mbona hamueleweki? Hivi unajua ruzuku wanazozikataa zinatoka wapi? si kwa wananchi hao unaowatembezea bakuli na kuwanyang'anya kile walichobakiza baada ya kukupa zako huku kwenye ruzuku?NGOJA nikuache manake kama hujelewa kuwa wewe ni white paper basi.