Hakupigwa teke bali alijua anachokifanya, halutaka aondoke na kuacha maswali hivyo alitafuta mtu wa kumsukuma na maswali aulizwe huyo mtu!Kumpira chura teke ni sawa na kumuongezea mwendo
Sio mbaya, cha msingi alichopigania kuwa bungeni ni shekeli nazo zinakuja mlangoni[emoji16][emoji16]
Aliyekuwa mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Joshua Nassari hatimaye amepewa mkataba wa miaka miwili wa kufanya kazi kwenye taasisi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama (Obama Foundation). Moja ya masharti ya mkataba ni kutojihusisha na siasa za vyama.
Joshua Nassari anatarajia kuweka makazi yake jijini Chicago, Illinois.
Nafasi gani?,Talishi?Aliyekuwa mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Joshua Nassari hatimaye amepewa mkataba wa miaka miwili wa kufanya kazi kwenye taasisi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama (Obama Foundation). Moja ya masharti ya mkataba ni kutojihusisha na siasa za vyama.
Joshua Nassari anatarajia kuweka makazi yake jijini Chicago, Illinois.
Acha wivu.huko Obama foundation ufipa kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Duh!!!Mtasababisha Job presha ipande, arudi India wamalizie na vidole vya mkononi
AUGUST 27, 2018Aliyekuwa mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Joshua Nassari hatimaye amepewa mkataba wa miaka miwili wa kufanya kazi kwenye taasisi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama (Obama Foundation). Moja ya masharti ya mkataba ni kutojihusisha na siasa za vyama.
Joshua Nassari anatarajia kuweka makazi yake jijini Chicago, Illinois.