Nasri: Naipa Simba 4% za kubeba ubingwa wa ligi

Mchambuzi Nasri yuko sahihi, Simba imepata Matokeo ya dhulma katika mechi zisizo pungua 8.

Mechi na Dodoma jiji Simba kapata (2) za dhulma makosa ya kibinadamu mechi ilitakiwa iwe sare, Mechi na Azam kule Zanzibar kapata point (2) ilibidi iwe sare makosa ya kibinadamu.

Mechi na Mashujaa Zote mbili kazurumu point ( 4) Makosa ya kibinadamu, mechi zote ilibidi ziwe sare, Mechi na Pamba Mwanza point (2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare.

Mechi na Namungo kule Rwanga point(2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare, Mech ya kwanza na JKT Tanzania pale KMC complex point (2) Mechi ilibidi iwe sare.

Mechi na Singida Black star point (5) pale liti Point (2) apa DSM point (3) kwa haraka Simba imevuna point( 17).
Makosa ya kibinadamu yame sababisha timu ya Simba ivume point 17. Kwasasa Simba ana alama 72 ukitoa alama 17 za dhulma anabaki na alama 55.
Ambazo angekua Chini ya Singida Black star
Mchambuzi Nasri apongezwe kwakua alifanya utafiti wa kisayansi , Simba alistahili asilimia 4 ya kutwaa ubingwa.
Kilicho badilika katika msimamo ni makosa ya kibinadamu.
Alifikaje fainali ya shirikisho??

Mtangazaji Nasri anaelekea kusema ukweli lkn hali ya sasa Simba iko juu kuliko Yanga kwa 7bu ili upate ubora wa hizi timu,inabidi kuzigawa ktk vipindi kama 3 hivi:

1. MWANZO WA MSIMU: Yanga walianza vzr sana wakiwa na wachezaji wao wa zamani na wachezaji wapya akina Dube. Mpaka raundi ya kwanza inaisha,Yanga kimizania ilikuwa inaonekana tishio.

2.ROUND YA PILI KUANZA NA YANGA KUONDOLEWA KLABU BINGWA: Kipindi hiki ndio mauza uza yalianza pale Jangwani. Hapa ndio tulianza kuona viwango vya wachezaji wao muhimu kama Aziz Ki vikishuka kiwango,na timu kuporomoka hadi kuondolewa kwenye michuano ya kimataifa. Yanga ukifuatilia sana hizi mechi ktk kipindi hiki,anashinda kwa kuunga unga. Wachezaji wao wapya akina Ikangalombo sijui Ikangamboro wakishindwa kuonyesha makali yao.
KATIKA KIPINDI HIKI SIMBA ILIZIDI KUIMARIKA ZAIDI IKIPATA ARI MPYA HASAHASA BAADA YA UJIO WA MPANZU ILHALI PALE YANGA KAMA KUNA STROKE FULANI.
Hapa tumeshudia mengi ya kuibomoa Yanga wkt Simba ikijiimarisha. Kushindwa kesi CAS,HATUCHEZI,KUTOLEWA CLUB BINGWA,Manara kuwasemea mabosi zake nk nk
3.KIPINDI CHA MWISHO:Hapa mwisho Simba iko juu zaidi. Kitendo cha kukosa ubingwa wa Shirikisho,ni kama umewapa hasira ya kombe la ligi. Lakini pia kimewapa uzoefu zaidi wa kupambana mpk tone l mwisho.Kuondoka kwa Aziz Ki nako kumepunguza nguvu pale Jangwani. Bifu kati ya TFF/BODI/MAREFA vs Yanga linainufaisha zaidi Simba huku Yanga na mapacha wake wakipigwa rungu la hasira.

MWISHO Yanga anweza kuchukua ubingwa kweli lakini itakuwa uzembe wa Simba mwenyewe kwa droo zake zile za kingese lkn kwa msimu huu 2024/25 shilingi zote zilikuwa zimelalia upande wa Simba.
 
We Mzee wa Tecnology Huyo Nasri Mbona kama Shemeji Ake GSM?

Sasa unadhani hapendi ugali wa moto kwa shemeji akiwa na maanko?
 
Kwa namna ligi inavyoenda unaona kabisa kuna namna 5imba anatengenezewa mazingira ya kuwa bingwa. Vitendo vya kuhailisha derby ili kuiepusha 5imba na kipigo pamoja na uhuni unaofanywa na marefa kwa kupewa jina la makosa ya kibinadamu vinaleta ukakasi
 
Ahaaa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa watapigika tu vzr

Back
Top Bottom