Nasri: Naipa Simba 4% za kubeba ubingwa wa ligi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
SIMBA WANAFOSI KUSHINDANA NA YANGA-NASRI
"Siku zote najua nini naongea na nini logic ya nnacho kiongea… Ukweli ni kuwa Simba hakua na timu ya kupambania ubingwa na Yanga

Kilicho tokea msimu huu ni kufosi tuu mambo, kitendo kinacho pelekea Ligi nzima kuharibika… ikiwa Simba watahitaji kupambania Kombe la Ligi mbele ya Yanga kimpira halisia wana hitaji madirisha mengine kadhaa ya kuboresha kikosi chao

Kwa sasa hawana kikosi cha kushinda na Yanga, labda kwa cinema izi zinazo endelea "
NASRI HALFAN MTANGAZAJI WA WASAFI
1748664093884.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Si ndio mwanzo wa maigizo yanayoonekana huku yakipapimbazwa na mashabiki wasiojua mpira
 
Ni nani huyu kwenye mpira wa TZ?

Waliocheza mpira zamani wauchambue. Kule kwingine naona ni akina Ian Wright, Michael Owen, Rio Ferdinand, Alan Shearer, n.k. baada ya kuucheza kwa mafanikio makubwa
 
SIMBA WANAFOSI KUSHINDANA NA YANGA-NASRI
"Siku zote najua nini naongea na nini logic ya nnacho kiongea… Ukweli ni kuwa Simba hakua na timu ya kupambania ubingwa na Yanga

Kilicho tokea msimu huu ni kufosi tuu mambo, kitendo kinacho pelekea Ligi nzima kuharibika… ikiwa Simba watahitaji kupambania Kombe la Ligi mbele ya Yanga kimpira halisia wana hitaji madirisha mengine kadhaa ya kuboresha kikosi chao

Kwa sasa hawana kikosi cha kushinda na Yanga, labda kwa cinema izi zinazo endelea "
NASRI HALFAN MTANGAZAJI WA WASAFIView attachment 3351551

Laban na CCM ni walewale!
 
Mchambuzi Nasri yuko sahihi, Simba imepata Matokeo ya dhulma katika mechi zisizo pungua 8.

Mechi na Dodoma jiji Simba kapata (2) za dhulma makosa ya kibinadamu mechi ilitakiwa iwe sare, Mechi na Azam kule Zanzibar kapata point (2) ilibidi iwe sare makosa ya kibinadamu.

Mechi na Mashujaa Zote mbili kazurumu point ( 4) Makosa ya kibinadamu, mechi zote ilibidi ziwe sare, Mechi na Pamba Mwanza point (2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare.

Mechi na Namungo kule Rwanga point(2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare, Mech ya kwanza na JKT Tanzania pale KMC complex point (2) Mechi ilibidi iwe sare.

Mechi na Singida Black star point (5) pale liti Point (2) apa DSM point (3) kwa haraka Simba imevuna point( 17).
Makosa ya kibinadamu yame sababisha timu ya Simba ivume point 17. Kwasasa Simba ana alama 72 ukitoa alama 17 za dhulma anabaki na alama 55.
Ambazo angekua Chini ya Singida Black star
Mchambuzi Nasri apongezwe kwakua alifanya utafiti wa kisayansi , Simba alistahili asilimia 4 ya kutwaa ubingwa.
Kilicho badilika katika msimamo ni makosa ya kibinadamu.
 
Ni nani huyu kwenye mpira wa TZ?

Waliocheza mpira zamani wauchambue. Kule kwingine naona ni akina Ian Wright, Michael Owen, Rio Ferdinand, Alan Shearer, n.k. baada ya kuucheza kwa mafanikio makubwa
Mwalimu ....sio doctor....lkn anafundisha mtu kuwa dactar.....so sio lazima uwe kwenye professional fulani

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mchambuzi Nasri yuko sahihi, Simba imepata Matokeo ya dhulma katika mechi zisizo pungua 8.

Mechi na Dodoma jiji Simba kapata (2) za dhulma makosa ya kibinadamu mechi ilitakiwa iwe sare, Mechi na Azam kule Zanzibar kapata point (2) ilibidi iwe sare makosa ya kibinadamu.

Mechi na Mashujaa Zote mbili kazurumu point ( 4) Makosa ya kibinadamu, mechi zote ilibidi ziwe sare, Mechi na Pamba Mwanza point (2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare.

Mechi na Namungo kule Rwanga point(2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare, Mech ya kwanza na JKT Tanzania pale KMC complex point (2) Mechi ilibidi iwe sare.

Mechi na Singida Black star point (5) pale liti Point (2) apa DSM point (3) kwa haraka Simba imevuna point( 17).
Makosa ya kibinadamu yame sababisha timu ya Simba ivume point 17. Kwasasa Simba ana alama 72 ukitoa alama 17 za dhulma anabaki na alama 55.
Ambazo angekua Chini ya Singida Black star
Mchambuzi Nasri apongezwe kwakua alifanya utafiti wa kisayansi , Simba alistahili asilimia 4 ya kutwaa ubingwa.
Kilicho badilika katika msimamo ni makosa ya kibinadamu.
Simba imeponza referees wengi

Back
Top Bottom