Nasinzia Nikikuwaza

stunter, namaanisha MIJICCM...si ndiyo mnavyotuita....
Hahaha labda hao hao, mimi nnampango wa kuhangaikia kajiwizara kokote hapo lumumba manake huu usawa sio
 
Lisemwalo lipo mkuu
 
I wish I could be your shoe, I would have such a beautiful view
Cc miss ...........!!
 
Wote kwa pamoja tena kwa kiwango sawa teh moyo mashine.... Kwa hiyo hili linawezekana kabisa
Mmh kweli kabisa, moyo mashine ndomana moyo unapenda kukaa karibu na Mashine mwenzake ATM
 
Aaaaaawooo nilikua naupenda sanaaa huu wimbo hasa hiyo verse ya mwisho
Nameless aliimba nyimbo kali sana zaman kama vile Salary,sunshine(huu pia ulikua mzuri sana) prisoner(aliimba na blue 3)n.k. ila sikuiz sijaona hit song nzuri kama za enzi zile
[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] back my Nameless jmniii
 
Nilisinzia nikikuwaza Nyani Ngabu na nimeamka nakuwaza.....
(Uliloniambia kabla ya kulala lilitokea ).

Kasie James ....

Kasie James Jeddah.
 
Dah umenikumbusha mbali kweli nilimpata mtoto mmoja wa jangwani sec alikuwa anaitwa roda miaka hiyo bahati mbaya sikudumu nae coz nilikuwa mshamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…