Mwanamke ana miaka michache sana ya ku "shine" ambapo hapo wale wajanja ndio hua wanapata waume wa kuwaoa. Wale ambao sio wajanja hudhani kwamba wataendelea ku shine forever so wanatanguliza nyodo, majivuno na starehe. By the time anakuja kushtuka kashagonga 30 na wale vijana wote aliowaletea nyodo wameshaoa wana familia zao ndio kuanza kukimbilia makanisani.