Nasikitika Kuwaacha Watanzania Wangu - Hayati Mwalimu Nyerere

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Hii ndio taarifa tuliyoambiwa watanzania kabla ya baba wa taifa kupoteza fahamu na mwisho kufariki dunia mwaka 1999.

Kwa hali ya nchi ilipofika nakumbuka kauli hiyo ya hayati Mwalimu Nyerere.
Mungu Ibariki Tanzania
 
Hali ya nchi imekuwaje? wewe ni pro ccm huna haki ya kulalamika Kwa lolote linaoendelea kaa kimya.
 
" nasikitika kuwaacha Watanzania wangu, najua watalia na kuhuzunika sana ,lakini waniombee kwa Mungu nami nitawaombea kwa Mungu" then akakata kauli.
 
Hali ya nchi imekuwaje? wewe ni pro ccm huna haki ya kulalamika Kwa lolote linaoendelea kaa kimya.
Una maana gani kwa kusema pro ccm ina maana pro ccm hana haki ya kutoa maoni.
 
Back
Top Bottom