nasikitika kutangaza

I'm shut up my mouth!
Because sie wengine tukisikia kitu Ban!
Tunaona kama kesi iko Mahakamani ! Na kilichopo kotini si unajua tena?
Debate haihusiki, discussion prohibited !
 
charminglady pole mwaya ila kwa simu mbona fresh tu mwanakwetu? Hata barabarani tu unatembea huku unabrowse, wapenda like inabidi wazoee coz huwanyimi kwa makusudi hasa ukizingatia we mamaa ya upendo!!
 
Last edited by a moderator:
Afadhali kazi zitafanyika.........nchi inahitaji kupiga hatua
 
charminglady pole mwaya ila kwa simu mbona fresh tu mwanakwetu? Hata barabarani tu unatembea huku unabrowse, wapenda like inabidi wazoee coz huwanyimi kwa makusudi hasa ukizingatia we mamaa ya upendo!!

Kweli bana sisi wengine tushazoea jf mobile. Akaribie tu.
 
Last edited by a moderator:
Pole CL...Pitia nyumbani nikuazime Iphone yangu kwa muda 🙂🙂 wakati ukijiandaa kupata kaLT kako hata ka mia 5 elfu

 
Last edited by a moderator:
charminglady pole mwaya ila kwa simu mbona fresh tu mwanakwetu? Hata barabarani tu unatembea huku unabrowse, wapenda like inabidi wazoee coz huwanyimi kwa makusudi hasa ukizingatia we mamaa ya upendo!!

shost,ntazimis avatar na pic za babu Asprin na mzee Mtambuzi lolest!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Heeh! Mie nimetoa avatar ili kujificha! Kumbe unanistukiaga eeh? Afu ntakupa umbea wa mateka, ila usinitaje.
yaani sasa hivi ataweza kuwatambua watu si kwa avatar tena bali kwa miandiko.

Mie nshazowea.
 
Pole CL...Pitia nyumbani nikuazime Iphone yangu kwa muda 🙂🙂 wakati ukijiandaa kupata kaLT kako hata ka mia 5 elfu


hapo sasa ndo napomic comp,cjui umeniwekea nini kwny youtube kha! namic jamani. . .
 
Last edited by a moderator:
Pole mwaya naona kama wamekusaidia ..
maana JF bila Ban ya ofisi ..unaweza kushinda hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…