Nasikitika kusema hili ila mnisamehe tu

Nasikitika kusema hili ila mnisamehe tu

Enock Rutha

Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
35
Reaction score
24
UPINZANI TANZANIA NI KAMA KUCHWA CHA MWENDA WAZIMU. NIA TUNAYO LAKINI TUMEKOSA MTU WA KUMTUMA ASIMAME BADALA YETU. Pole sana watanzania wenzangu badala ya kutumia muda mwingi wa kulalamika mitandaoni tujipange kwenye makundi madogomadogo tufanye kazi tule kwa jasho sioni namna nyingine ya kuwasaidia hasa vijana tuliokuwa tukisoma na tunaosoma tukiwa na fikra potofu AJIRA bila kuwa na plan B. Karibuni kwenye ujasiliamali ambao tumeshaanza tunachekelea tu. Nimekaa muda mrefu mwishowe nimechoka na kero zenu za ajira na nasikitka kijana na viungo vyote vya mwili unakaa kulalamika Mara oooh sina mtaji wakati kila siku mitansaoni na simu kali suruali modo wallet limejaa makaratasi. Na mtaolewa sana na degree zenu msipoangalia. Naandika kwa masikitiko tu jamani na pole kwa atakayekwazika ila tuache KULALAMIKA.
 
Umejaza tope tu katika akili yako kwa akili hizi sijui huu ujasiliamali una unauendesha kwa staili ipi.

Hapa ilitakiwa ulete maada murua juu ya ujasilia mali sio kukurupuka tu.

Sasa hapo juu umeongelea upinzani unahusikaje na maada hii uliyoileta .

Nasikitika sana kuwa na vijana vichwa maji kama wewe

Eti mwaka huu mtaolewa sana na degree zenu.

Samahani kwa mambo yote hapo juu nimegundua wewe ni muumini wa LIBAPA NYAGI MZEE WA UPAKO
 
UPINZANI TANZANIA NI KAMA KUCHWA CHA MWENDA WAZIMU. NIA TUNAYO LAKINI TUMEKOSA MTU WA KUMTUMA ASIMAME BADALA YETU. Pole sana watanzania wenzangu badala ya kutumia muda mwingi wa kulalamika mitandaoni tujipange kwenye makundi madogomadogo tufanye kazi tule kwa jasho sioni namna nyingine ya kuwasaidia hasa vijana tuliokuwa tukisoma na tunaosoma tukiwa na fikra potofu AJIRA bila kuwa na plan B. Karibuni kwenye ujasiliamali ambao tumeshaanza tunachekelea tu. Nimekaa muda mrefu mwishowe nimechoka na kero zenu za ajira na nasikitka kijana na viungo vyote vya mwili unakaa kulalamika Mara oooh sina mtaji wakati kila siku mitansaoni na simu kali suruali modo wallet limejaa makaratasi. Na mtaolewa sana na degree zenu msipoangalia. Naandika kwa masikitiko tu jamani na pole kwa atakayekwazika ila tuache KULALAMIKA.
sasa ulichowaeleza vijana ni nini umetoa maelezo yasiyo jitosheleza
 
Una Hoja nzuri ila uwasilishaji wako ndio Mbovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom