Nasikia dada umetelekeza korosho tani 50 kulinda ukuu wa wilaya


Ya funga mwaka
 
Upo vizuri sana mwambie huyo dadako kuwa watu wamemchoka na sasa watamchoma kwa wakubwa zake,amenunua sana sehemu za bondeni
Si amenunua na kuuziwa kwa fedha zake? Wivu wa nini? Nyie watu wakusini acheni wivu w kimaskini, mlitaka aje Msukuma kununua ndio iwe sawa?
 
Si amenunua na kuuziwa kwa fedha zake? Wivu wa nini? Nyie watu wakusini acheni wivu w kimaskini, mlitaka aje Msukuma kununua ndio iwe sawa?
Haya maneno yàko ilibidi umwambie magufuli siyo unani bwatukia mimi
 
Asante, nimeanza kuelewa alichokisema mtoa mada
 
Umeona eeh
 
umeandika kimajungu majungu,chuki chuki hivi na kawivu kwa mbaaaliii
 
Nakuunga mkono mtoa hoja na hawa wanao kubeza hawajui nini unamaanisha ila kwetu sisi tunao jua mchezo wote tunakupongeza na mwaka huu atawacha kidomo domo maana kakatwa maini
Achante ntani wangu bwana wewe
 
Kuna watu walishaanza minong'ono oooh hizo hela hazitatosha, lele lele...lolo lolo na hadithi za Kalumekenge. Haya sasa, kama kuna wazalendo wa kuchangia tani 50 bure, hazitatosha tu?
 
Kazitelekeza wapi tukazichukuwe maana korosho zote ni mali ya serikali kwa sasa.
 
Hatuwezi wote tukawa wakulima....
Hakuna kitu kama Hicho kwenye ulimwengu huu.....
Kitu biashara yoyote kuwepo mtu wa kati ni kitu cha kawaida!
Mfanyabiashara ndy anaumiza kichwa kupata masoko n.k
Huo unaitwa mgawanyo wa kazi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…