Nashukuru sina demu wa kumhonga

Nashukuru sina demu wa kumhonga

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
264
Reaction score
381
Kwa miezi kadhaa sasa tangu ofisi yangu ipigwe ban na serikali ,nimejikuta naachana kabisa na mademu zangu wote na muda mwingi nawaza kutafuta hela Tu
Na hawa mademu nahisi washajishtukia coz nlivyowadekeza Siku za nyuma tofauti na hivi karibuni
So wameacha kabisa kunipiga mizinga na wote nshaachana nao
Natafuta mke mwema sasa nitakaesaidiana nae kutafuta Mali
Yani kutokana na hali mbaya ya uchumi nimejikuta nawaacha michepuko yangu yote automatically bila kuwaambia na wenyewe washajua manake muda sasa sijahonga kabisa.
Ijumaa kareem
 
Unajua maana ya Mchepuko.

Kwa tafsiri halisi ya JF, Mchepuko ni mzinifu wako wa pembeni mbali na mkeo/mumeo halali.

Kwa mantiki hiyo, wewe hukuwa na mchepuko bali vipoozeo vya kikojoleo chako. Hujaithinishwa rasmi kwa mmoja.

Anyway, ngoja nikuulize.
Umeshindwa nini kumfanya mmoja wa vipoozeo vyako kuwa mkeo?
 
Ushatumia na hayo mademu zako, umefilisika sasa unataka kutafuta mwanamke wa kumpa shida.. kwenye raha mbona hukutafuta..


Mimi na mahondaw wangi ni kwenye shida na raha...


cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom