Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,427
- 166,837
Mungu Hana dini, acha chukiHili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)
Hayo mashairi ni nani aliyetunga na anaye Ghani nani??🎤👂Hili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)
Kabisaa, 😂😂😂Tumsaidie maleria 2 kichwani imepanda, doz mseto wataalam ushahuri
Bahati yake kesho kula muda wote, ingeendelea, maleria ugonjwa mbaya
Ukweli mtupuHili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)
Mna chuki mbaya sanaAlhamdulilah I am Muslim not Kafiri
Sasa kusema nashukuru sijazaliwa kafiri ni chuki nayo ?! We vipi .. nikisema nashukuru sijaziliwa mchaga hiyo nichuki kwa wachagaMna chuki mbaya sana
Unafamu Nini kinyume cha kushukuru?Sasa kusema nashukuru sijazaliwa kafiri ni chuki nayo ?! We vipi .. nikisema nashukuru sijaziliwa mchaga hiyo nichuki kwa wachaga
Mimi lengo langu ni kushukuru sasa kama wewe unafikiria kinyume ..ni matatizo yako mwenyewe ...Unafamu Nini kinyume cha kushukuru?
رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوْبَنَا بَعْدَ اِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِنْ لَّدُنْكَ رَحْمَةً ۚاِنَّكَ اَنْتَ الْوَهَّابُHili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)
Hahahhaa nimecheka kwangvu jamani🤭😆Imani isiyoweza kukemea Mapepo na mashetani Ina walakini.
Pepo unalisomea Dua na kuliuliza Eti unataka nini? Ni baba Yako Hilo?
Tumsaidie maleria 2 kichwani imepanda, doz mseto wataalam ushahuri
Bahati yake kesho kula muda wote, ingeendelea, maleria ugonjwa mbaya
Kinyume cha kushukuru ni kulaaniMimi lengo langu ni kushukuru sasa kama wewe unafikiria kinyume ..ni matatizo yako mwenyewe ...
Mimi nimeshukuru kuwa muislam how does that offend youKinyume cha kushukuru ni kulaani
Sio chuki Hujakosea.Sasa kusema nashukuru sijazaliwa kafiri ni chuki nayo ?! We vipi .. nikisema nashukuru sijaziliwa mchaga hiyo nichuki kwa wachaga