Nashukuru: Nimepata watoto mapacha

Nashukuru: Nimepata watoto mapacha

Dah!
Hongera sana mkuu, NAPENDA kweli kuwa na watoto mapacha. Hapo umeua ndege 2 kwa jiwe 1. Nipe maujanja, 'UMEFANYAJE FANYAJE'?
kula sana mihogo pweza karanga hakikisha unazuia bao zako kwa siku tatu walau kuelekea siku ya mechi na mama awe ametumia clomiphene walau siku kadhaa b4 mechi ila unaweza ukapata zaidi ya wawili
 
Majina unayowapa wanao, yana-reflect hisia na connection yako kwao. Ndio maana wenzetu walioendelea huwapa watoto wao majina kulingana na nyakati walizo,wanazopitia, matukio au watu muhimu katika maisha yao. Au hata mazingira kwa ujumla waliyozaliwa watoto husika.

But anyway, hongera Chief.

your right usimpe mtoto mradi jina wao wenyewe wanajua mazingira gani watoto hao wamezaliwa
 
Hongereni sana.......kwa majina mpaka unajifungua hukuwahi kutamani kuwa na majina fulani kwa watoto wako....mshirikishe mwenzako kwa hilo la majina
 
Dah!
Hongera sana mkuu, NAPENDA kweli kuwa na watoto mapacha. Hapo umeua ndege 2 kwa jiwe 1. Nipe maujanja, 'UMEFANYAJE FANYAJE'?

Hakuna zaidi ya kumuomba MUNGU na sio lazima upate maana MUNGU anahiari yake
 
Back
Top Bottom